I love loving you

Aaaaaah, i wish........

Mmh! Hapa hapanifai.

Hehehe njoo kule basi

bora nilale kuliko kuja kule.

Unakataa mwaliko wa ikulu?

utanifisadi.

Unamsingizia Rais?

raisi yupo fesibuku, hajaqualify kuwa grt thinker.lol.

Nyie madogo,mbona mnaniamsha nimelala....? Punguzeni kelele, ala!

Nina ringtone yake naipenda kwa kweli niliisikia nilipokuwa naitafuta cm.yangu kitandani nikampigia mwandani wangu cm.ikatoa mlio wa tofauti na wengine niatamani kuisikiliza zaidi sasa ninayo kwenye cm. Naipenda hii msg.

the feeling is mutual clemmy, i love loving ur love

Haha,inabidi umpe maneno ya kuonesha kwamba you really love loving his love,
sio yeye anashuka mistari kibao we unamrudishia mmoja tu

Nimeikopi hii naenda muuzia shigongo aweke kwenye zile hadithi zake ndeeefu, thanks ila kiswahili mhhh sio kama kidhungu

Yule jamaa ni balaa aisee,anakipaji cha aina yake.
Kiswahili nimegundua ni kitam pia,inategemea na jinsi unavo tafsiri

Jamani hayo maneno mazur namna hiyo mnayapataga wapi?

Yes,i love loving you because despite of all my weaknesses,all my failures,
all my falls,all my faults and my errors of judgement,i have been blessed to have
you in my life.

Hayo maneno hapo juu yamenikamata barabara
thanks mpendwa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…