Duh hivi it reach a step maisha yanakuwa hivi? Ndoa ndoano
Ha ha ha umenichekesha sana mkuu,hawa watu ni wazuri sana ila ukiwahandle vibaya ni BALAAAA,KWA KIASI KIKUBWA SIE WANAUME NDIO HUWA TUNAWAHARIBU. Huyo shem wetu siku akiacha kulalamika tu....ujue tayari wajanja wameshaanza kumCHAKACHUA. INABIDIDI JAMAA ABADILIKE KABISA.Na urafiki huo hauishii huko huko nje bali hata nyumbani bado mnaendelea kupigiana simu na kuchat
lazima mwanamke wako ajiulize ni nini mnachochat na kuongea muda ambao sio wa kazi
Kama ni issue za kazi kwani haziwezi kusubiri kesho yake mpaka akutegee uko na wife wako anakupigia simu mnaongea
Ha ha ha umenichekesha sana mkuu,hawa watu ni wazuri sana ila ukiwahandle vibaya ni BALAAAA,KWA KIASI KIKUBWA SIE WANAUME NDIO HUWA TUNAWAHARIBU. Huyo shem wetu siku akiacha kulalamika tu....ujue tayari wajanja wameshaanza kumCHAKACHUA. INABIDIDI JAMAA ABADILIKE KABISA.
Nashukuru kwa shauri mbali mbali ambazo zimetolewa nitazingatia coz lengo ni kudumisha hii bond idumu, ila swala la kuzima simu haitakuwa rahisi kwangu kutokana na nature ya shughuli zangu.
Sidhani kama mimi ningekuwa na problem kama wife angekuwa na friends lukuki ila offcoz nisingeruhusu wasumbue usiku.
Sema wasiwasi wangu ni kwamba if i surrender to this and or change my contacts i will be giving her a ticket to turn into a complete control freak :shock:
Ndo maana nasema mkuu siku akiona mkewe halalamiki tena ajue kuwa kashaingia shule na yeye
Na hapo hataona kitu tena kwa mkewe
Atajishangaa siku moja na mkewe nae yuko busy anachat usiku akiulizwa anasema ni mfanyakazi mwenzangu wa ofisini au ni mwenzangu kwenye chama chetu kile cha kukopa au ni msusi wangu namwambia aje kesho kusuka au ni yule mama muuza genge ananiambia kuhusu madeni yangu au ni yule jirani yetu anayetuletea maziwa ananikumbusha deni lake
ha ha ha,mkuu ukishasaini cheti cha ndoa some how upo controlled na mkeo.Nashukuru kwa shauri mbali mbali ambazo zimetolewa nitazingatia coz lengo ni kudumisha hii bond idumu, ila swala la kuzima simu haitakuwa rahisi kwangu kutokana na nature ya shughuli zangu.
Sidhani kama mimi ningekuwa na problem kama wife angekuwa na friends lukuki ila offcoz nisingeruhusu wasumbue usiku.
Sema wasiwasi wangu ni kwamba if i surrender to this and or change my contacts i will be giving her a ticket to turn into a complete control freak :shock:
MHESHIMIWA MAUNDUMLA: EBU fanya kutugawia namba ya mkeo mimi au Mr Rocky au Mtambuzi tunataka kuchati nae tu wala usiwe na hofu just kuchat tu mbona unatoa mimacho na BP inakupanda,ni kuchat tu. mie nitampiga shm saa tatu hivi usiku!!!!!!!!!!!!!!!!!!,???????????
hahaha
Mimi katika wale ambao wanaamini usitendee wenzako usiyopenda kutendewa
Hii ni kumaanisha kwamba sitakuja kumchunguza chunguza wife iwe kwa kushika simu yake au vinginevyo ingawa yangu inachunguzwa sana :lol:
hahaha
Mimi katika wale ambao wanaamini usitendee wenzako usiyopenda kutendewa
Hii ni kumaanisha kwamba sitakuja kumchunguza chunguza wife iwe kwa kushika simu yake au vinginevyo ingawa yangu inachunguzwa sana :lol:
Wakuu naona karibu wote mmbebobea kwenye simu za usiku na kuchati , kitu ambacho sija mention kwenye original post, pengine mnajaribu kuangalia general cases , this one is peculiar nadhani u have missed the point.
hiyo ndio main point bana,......haya tupe main point tuliyo i miss.wakuu naona karibu wote mmbebobea kwenye simu za usiku na kuchati , kitu ambacho sija mention kwenye original post, pengine mnajaribu kuangalia general cases , this one is peculiar nadhani u have missed the point.