I love so much Lizy

Kila mmoja aanze kunadi sera zake sasa ili nichague moja .. Tare14 wiki ijayo si mnajua
Ka totooo na wewe ndio umejifanya kama serikal kabisa[emoji849][emoji849][emoji849]

Huo uchaguzi ndio wa serikali za mitaa au uchanguzi mkuu wa uraisi wabunge na madiwani????[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
We endelea kushangaa shangaa,, Tare14 utakua pekeyako kwenye kupaka majibuπŸ˜ƒ
 
Kama under 35 huyu bado anafaa hata mimi nam mudu hanisumbui kabisaa. Posa elfu 30 au 50 niweke kwenye bahasha??
Yaani pamoja na sifa zote hizo Babu yake nilizotaja bado unataka kututania Wazee Kwa kuweka hizo elfu 30 Kwa bahasha.

Hizo elfu 30 Kwa gari tu anayotumia, akiweka mafuta gari haifiki hata Mwenge kutokea Upanga inakuwa imeshawaka taa.

Hebu Fanya uweke milioni 3, then tukikaa kikao Wazee tutakutajia mahari ambayo haitapungua milioni 10 πŸ€—πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Mzee Kama kishija uchumba milioni 3, na mahari 10m.
Sidhani Kama nita kuja kuoaπŸ˜ƒπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…