I love so much Lizy

Mengi sana...
Hahaha..........Poleni Wakuu, tatizo hata nyimbo za miaka hii zinahamasisha hayo mambo.

Imagine Kuna wimbo nilisikia wanaimba "Hakuna cha peke yako zaidi ya Kaburi"

Wimbo kama huu unahamasisha ukiwa na Mke basi Vijana wa hovyo ruksa kupiga ๐Ÿ™Œ

Babu yenu nilivyo na wivu mtanikuta nimejikufia huko Kwa maumivu ya kuchapiwa ๐Ÿ˜œ
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€, Eto zaidi ya kaburi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ