I love these ladies; don't you (picha)

Rais aende huko Darfur kuwatembelea wapiganaji wetu hawa. Obama kaenda juzi Afghanistan.
 
Presida wetu anapenda zaidi chereko chereko, mambo ya kombati ya nini bana.
 

hapo nlipoweka red hapo ndo pabaya sana, kwelim ikulu kwenda kupokea yeboyebo na mipira na vespa, kweli akutukanaye hakuchagulii tusi, haya mambo mkulu awe anachomoa sometimes so lazma kuuza sura hata kukabidhiwa yebo, wangepeleka kwa machibya morogoro au yule mkuu wa wilaya kilosa! daah, hapa watawala wetu wanatuangusha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…