I love this (proudly Tanzania)

Huyo ni muumini mzuri wa uzalendo Tanzania, anastahili tuzo. wazalendo kama hawa wanaangushwa na ufisadi wa viongozi.
 
Wachaga! Wenye pesa zetu. Special Order Hiyo Kiwandani. Usiulize gharama yake, utazimia.
 
Another job from photo shop
 
Wabongo bana hapa badala ya kujiuliza tunafaidikaje na hili, tunaanza kushangilia, hahahah
 
another job from photo shop


aaaaaaaaaghhhhhhhh, watu bana, kila kitu photoshop photoshop?? Ina maana unaona hili haliwezekani??

Ipo siku utaletewa picha ya mkeo yupo jolly then utasema ni photoshop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…