i love u so much please understand me

Another victim of MMU.......Kila mwezi tunapata majeruhi mpya. Ila usiondoke JF kama Husninyo....angalau wewe hujamuona huyo mpenzi wa ndotoni, mwenzio alikutana na kibabu
 
anaweza pia kuona 'hatakuweza'
uko juu sana
do kakuacha kistaarabu pia
kiastaarabu kwakutojibu kila ninachoandika au kaoa huko uraiani why he never said that..thats means he is real single
 
acha ujinga na kutafuta kuonewa huruma usipende usipopendwa. unataka amuache mpenzi wake?naye atakuja lalamika hapa
 
what should i do with this love am feeling for him right now
 
Halafu unadhani watu wa JF wanatoka sayari nyingine: Wapo viongozi wetu, watoto wetu, wadogo zetu, mama na baba zetu, babu na bibi zetu,rafiki zetu n.k

Isije kuwa umeingia choo cha "kiume".......ukakutana na kaka yako
 
nakuelewa my dear, 100 percent.

Ila kila siku why wadada? Mioyo yao mbona haina macho?
Mbona wanaamini haraka sana?
Mbona wanapenda haraka?

Jamani huyu mtengenezaji wa mioyo ya wanawake si aje abadili formula kwa angalau muda mchache?

Sikunangi, i feel you.

usiseme ivo connie mana u never know alikua ananipaje maneno matamu kiasi kwamba nikajikuta nimempenda sana..kumbe yeye alikua anachukulia utani wakati mimi nilikua naona ananipenda kweli
 
kiastaarabu kwakutojibu kila ninachoandika au kaoa huko uraiani why he never said that..thats means he is real single

anything possible
labda kaoa
labda impotent
labda alishaumizwa sana na kaamua kuwa single forever
labda ...
labda he is gay but he pretend to be straight
labda he is hiv positive so amekulinda
labda ana cancer na he is about to die so anaingia online lu have fun only
labda,,,
labda,,,,,,
 
acha ujinga na kutafuta kuonewa huruma usipende usipopendwa. unataka amuache mpenzi wake?naye atakuja lalamika hapa
hajawai niambia anampz ndio mana nalalamika hata kama anaye hajasema that means he is still looking for the right queen and am the one
 
au ukute ni babako au kakako

hii mitandao ya kijamii unaweza ukaflirt hata na asiyefaa lol

ana sababu zake, labda hata kufikiri tu hiyo flirting kwake ni taboo

huwezi jua

kiastaarabu kwakutojibu kila ninachoandika au kaoa huko uraiani why he never said that..thats means he is real single
 
why he chose me???? oh! no...ok may be he is gay
 
Halafu unadhani watu wa JF wanatoka sayari nyingine: Wapo viongozi wetu, watoto wetu, wadogo zetu, mama na baba zetu, babu na bibi zetu,rafiki zetu n.k

Isije kuwa umeingia choo cha "kiume".......ukakutana na kaka yako
platozoom najuta kumtumia picha zangu
 
au ukute ni babako au kakako

hii mitandao ya kijamii unaweza ukaflirt hata na asiyefaa lol

ana sababu zake, labda hata kufikiri tu hiyo flirting kwake ni taboo

huwezi jua
sasa nikiwaza hayo mpz si ndio nitakua hata harusi za ukoo siendi kisa naogopa kua labda mmoja wao ndio alikua yeye
 
thanx mpz you mean a lot to me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…