jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Poa...Hujambo mdogo wangu?
To the head above why can't you forgive me for once,I know you are reading this.
IF I OFFENDED YOU IN ANYWAY LOVE FORGIVE ME PLEASE
😂😂😂😂Nimesha kusamehe, haya leta papuchi hiyo niitendee haki
To the head above why can't you forgive me for once,I know you are reading this.
IF I OFFENDED YOU IN ANYWAY LOVE FORGIVE ME PLEASE
Kweli kabsaTutamcheka tutambeza tutamkejeli na kumdhihaki mleta mada lakini kamwe hatujachukua walau sekunde kutafakari kipindi anachopitia na jitihada za kuomba suluhu hadi kufikia kuja kupost hapa
Kuna maumivu yake makubwa sana kwenye hili... Mwana kala buyu hataki kusamehe... Hatujui kosa ni ninini hivyo siwezi kuhukumu kikubwa hapa ni mmoja kaamua kujishusha kabisa na kuomba radhi kwa njia hii... Ametua mzigo mzito...
Misamaha yote January cyo dec.To the head above why can't you forgive me for once,I know you are reading this.
IF I OFFENDED YOU IN ANYWAY LOVE FORGIVE ME PLEASE
'Think before you leap'To the head above why can't you forgive me for once,I know you are reading this.
IF I OFFENDED YOU IN ANYWAY LOVE FORGIVE ME PLEASE