Kipi kina faida zaidi?Of course running burns more fat than walking.
Walking for 60 minutes or more a day can help you to burn excess body fat slowly every day. Meditation can be done while walking, this is physical and psychological benefits at once. Walking can be done in the rain or sunshine, provides you with fresh air.
View attachment 998628
Nenda ufukweni au sehemu zenye park. Nimecheka sana mkuu. Huku Kolomije raha yake ukitembea unasikia sauti za ndege. Si ndege za Magufuli hapana ni hawa walioumbwa na Mungu.Wanatembea wenzetu huku bongo ukisema utembee una meditate utamwaga nyanya za watu au unaweza jikuta umeingia chooni kwa watu kama sio kutumbukia mitaroni achana na kupigwa na mipira sahau ku pekechuliwa kila ulichonacho na wenye mji nikiripoti kutoka tandale kwa tumbo cjuh wenzangu masaki huko kunatembeleka???
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wanatembea wenzetu huku bongo ukisema utembee una meditate utamwaga nyanya za watu au unaweza jikuta umeingia chooni kwa watu kama sio kutumbukia mitaroni achana na kupigwa na mipira sahau ku pekechuliwa kila ulichonacho na wenye mji nikiripoti kutoka tandale kwa tumbo cjuh wenzangu masaki huko kunatembeleka???
Sent from my iPhone using JamiiForums