Na Tu discuss hiyo Title hapo Juu Jaman,
About three of Rafiki zangu wametokea kuambiwa hiv na Wadada wanaowapigia Misele..
Mmoja wao ndo alienda Mbali kidogo na huyo Mdada,mdada alionesha dhahiri anamzimia Mshikaj wangu,walifikia hatua hadi ya Kufanya "Fore plays", but hiyo kauli hapo Juu ika mfanya mshikaj wangu a Freeze....
Hiyo kauli ina Maanisha nini Ki undani zaidi jaman
Sijaelewa labda st kayumba zinasumbua kabisa kama ni mpira ni 10 - NIL
dena mpenzi wanifurahisha wwe siku zooote wallah una ugomvi na aneleta english,,, hivi kwanini na hiyo kiyumba maana yake ni nini??? hhehehehheheeh,,,, bwana mwenzio ataka kushauriwa huyo apewe maana ya i lov u,, ilov u so much baby but we cant be lovers....hehehe...piganisha kichwa umwambie huyo,,,mi nasubiri wewe ukimwambia tuu na mie ntamwambia hehehe,,,
St. Kayumba ni shule zeetu zile za enzi za nyerere eng not reachable sio kwamba sijamuelewa hiyo title tatizo humo ndani sijaelewa kabisa hizo red hebu zisome vizuri wewe umeelewa hebu nifahamishe basi dear. Leo nina ombi kwako maana umeamka mapema hiyo rangi unaweza kuibadili inanipaga taabu kweli kusoma dear kama unaweza kuibadili ningefurahi kweli asante in advance.
Maana yake ni
1. Ana kikwazo kinachomfanya asiwe na mahusiano nawe. Yaweza kuwa ameathirika, anaogopa akikuambia utamtangaza.
2. Anataka serious relationship, nawe huelekei!
3. Ana habari zako(kuwa umeathirika), n she want to be polite
4. Hujameet, sifa anazozita!
And many more. The best thing is to respect her wishes.

basi sawa rangi ntabadili my dear,,, aahhaa sasa nimekuelewa huyu jamaa kachanganya kwenye mistari lakini alivyomaanisha yeye kiufupi hata mie kanibabaisha sijajuwa ntamjibu nini mpaka sasa,,,
Mbona wenzio wameelewa jaman we Mdada
Maana yake ni
1. Ana kikwazo kinachomfanya asiwe na mahusiano nawe. Yaweza kuwa ameathirika, anaogopa akikuambia utamtangaza.
2. Anataka serious relationship, nawe huelekei!
3. Ana habari zako(kuwa umeathirika), n she want to be polite
4. Hujameet, sifa anazozita!
And many more. The best thing is to respect her wishes.
Dena pata kahawa kwanza then ndio urudi!!!
Wewe lile somo langu naona halijapanda