I love you ladies...yes i love you so much!!!

yaani we acha tu kuna wamama wana bahati bana lol
Nikugawie bahati kidogo?.......caring is sharing. siwezi kuona mwanamke wewe unapata shida na mm nawapenda wanawake halafu nikuache uteseke tuuu!
 
Mtoa mada I salute you!

At least ndo nachoweza kusema ili kuitendea haki thread hii tamu.

Salute to all women....My mama, wife, kids, wajukuuz and all women in the world. Bila nyie, dunia isingekuwa sehemu tamu ya kuishi.

Amen!

Ahsante Babu....

nakupenda sana Babu A maana nawe watambua thamani ya hawa watu
 
ASANTE SANA kwa kutambua umuhimu wa mwanamke.
napenda sana kusikia mwanaume akishukuru uwepo wa mwanamke.
 
achanteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!:smile-big::smile-big:
sjui wale wenye bfu na wanawake wapo wap?
 
I am just a call away.......you know that.
Sasa wewe ni mwanamke, so nakupenda saaaana kama mwanamke kwanza, pili nakupenda kwa sababu wewe ni special kwangu, tatu nakupenda coz sina sababu nyingine ya kuacha kukupenda.......
I LOVE YOU.

OMG,,am proud to be a woman,,halafu thank God kwa kuwa spesheli kwa mtu nyeusi a.k.a hati meka,,me loves u a loooooooot halafu will store u deep here :smile-big:
 
Nikugawie bahati kidogo?.......caring is sharing. siwezi kuona mwanamke wewe unapata shida na mm nawapenda wanawake halafu nikuache uteseke tuuu!

nigaie hata kidogo mwaya maana bahati zinatupita tu pembeni, bora nyie mko huku wababa wengine hawataki hata kuja walivyo na roho mbaya
 
achanteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!:smile-big::smile-big:
sjui wale wenye bfu na wanawake wapo wap?

Karibu sweetheart.....

Unahabari kuwa Rev (Ban in Peace - BIP) akishakabwa na Malaria Sugu ya DSM huwa hachukui muda ku ThinkTwice kama Zomba bali moja kwa moja hukimbia kumtafuta Rose1980 kwenye Jukwaa la Malavidavi ili ampet na kushusha pressure??? Hhahahaaha
 
OMG,,am proud to be a woman,,halafu thank God kwa kuwa spesheli kwa mtu nyeusi a.k.a hati meka,,me loves u a loooooooot halafu will store u deep here :smile-big:
Dont just store me, use me now...........and make sure its not too deep, i may not be able to come back....:smile-big::smile-big:
 
nigaie hata kidogo mwaya maana bahati zinatupita tu pembeni, bora nyie mko huku wababa wengine hawataki hata kuja walivyo na roho mbaya
Orait, nalifanyia lojistiki hili.......we love ya women bana!
 
Asante N.D.T kwakutuanzishia siku vizuri!We love you right back!
 
Dont just store me, use me now...........and make sure its not too deep, i may not be able to come back....:smile-big::smile-big:

ha ha ha!may be u direct me now so that i can use u accordingly,,lol
 
nigaie hata kidogo mwaya maana bahati zinatupita tu pembeni, bora nyie mko huku wababa wengine hawataki hata kuja walivyo na roho mbaya

maty nataka nikaongee na babu anikabidhi NewDownTz,,unaonaje?
 
Asante N.D.T kwakutuanzishia siku vizuri!We love you right back!

Thank you Lizzy ma dear...Without You our World would have never Spin around its own axis
 
Kwa kweli huyu anafaa sana kaombe ruhusa kwa babu tena umng'ang'anie mpaka atoe ruhusa lol
kwa hiyo asipotoa, aendelee kung'ang'ania kwa mwaka mzima? najaribu kuelewa maana ya kung'ang'ania hapa.
 
maty nataka nikaongee na babu anikabidhi NewDownTz,,unaonaje?

Hhahahahaaa!! we WL wewe.....babu hawezi kukuruhusu maana anajua sipatikaniki kirahisi, ukuta ulionizunguka ni balaa, si unajua tena location yangu niliyopo???

NewDawnTz

Location: Inside my Wife's Heart

Je utanipata hapo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…