I Love you my wife, i really love you

I Love you my wife, i really love you

colin_morgan

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,443
Reaction score
2,912
Habar zenu wakuu

Takriban kwa mda mrefu sana nilikua naishi kiunafiki kabisa kufake relationship status yangu kwa sababu tofaut ambazo ni ziite kua ni za kijinga

Nilikua napata tafakar kuhusu hili mara kwa mara hadi nikawa nathibitisha ule msemo kua good woman always get the bad boy

Mke wangu ni mzur kila idara , kuanzia sura , tabia ndo usiseme, umbo, ni mpole na ananijali na kunipenda kusiko mithilika so kiufup niseme she is quit perfect and blessed as woman

Baaada ya kuwa dishonest kwa mda mrefu nimegundua kua hakuna penz la dhati na la kweli na zuri kabisa ispokua lile linalotokana na mke au mume

Yaan zile family interaction za watu wawil ambao wanapendana na kuleta zile joys and happiness baina yao ni priceless believe me kwamba ni priceless unless uwe hujawai ku expirience anything like that

Baaada ya maelezo hayo niseme kwamba its over sitokuja tena kabisa kumcheat wife or to take her for granted nimegundua nimebarikiwa sna tena sna hadi baba yangu mzazi kaliona hilo na kunisisitiza kua mkwe wake huyu ni exceptional kwa heshima yake , tabia na mengine

Kweli mda mwingine sisi binaadam tunashindwa ku appreciate something until it become too late or just a story
Ila namshkuru mungu kunijaalia nikatambua hili before its too late
Niseme tu , nakushkuru sna muumba wangu kwa kunibariki daima nitakua mwenye shukran

Nimeendika huu uzi kwa hisia kali , na nikirud tu home leo basi baada ya kumpa wife zawadi pia nitambeba kumkumbusha ule upendo alioupata siku za mwanzoni

Ushauri wangu kwenu wanaume wenzangu hemu tu appreciate vile vya kheir na vzur ambavyo mungu katujaalia , kila anachokupa mungu jua ni baraka kuliko kile unacholazimisha kua nacho


Mbali zaid utakuta sisi men tunapata kila kitu kutoka kwa wake zetu tena for free kabisa , lakin still tunaenda kwa michepuko ambayo somtimes utakuta huo mchepuko haumfikii mke wako hata robo ya uzuri na bado matatizo kibao na gharama jaman daah sisi wanaume tunapaswa kujitafakar kwa kweli


Nimalizie kusema , tuwapendeni wake zetu jaman tamaa haziishi its better late ku realize ku appreciate your wife than never the time is now before its too late

I love you so much my wife tripple s (sss) you are my world , my heaven and my universe
 
Bila shaka kuna kamdada ka JF kamekuwa dumped kupitia huu uzi.

Ila na wewe you are not man enough kumface huyo Dada mkayamaliza vizuri badala ya kumtupia vijembe humu. Not cool at all. People do not have to become enemies once they break up.

And as for wadada wa JF, kuweni makini jamani. Don't let loneliness make you desperate. Once a man knows you are desperatehe treats you like shit.
 
Daaah! Maneno matamu kabisa haya Mkuu ila sasa ukayahitimishe kwa vitendo huko home kwako maana sina hakika kama Mkeo ni Member humu na kaona ulivyompa mapwenti kiasi hicho.

Barikiwa Mkuu wewe na Mkeo kila kukicha japo pia niseme na wengine muige mfano mtupende wake zenu kama tuwapendavyo kwani sisi ndio ubavu wenu.

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Hongera sana mleta uzi.
Mkuu hajar asnte sna , na nakuahid yote hayo yatatekelezwa
 
ndugu yangu umefanya uamuzi mzuri kutulia lakini ujue malipo ni hapa hapa duniani, siku mkeo akianza kufanya uliyokuwa unayafanya uwe tayari kumsamehe na kumpokea, otherwise nakutakia kila la kheri katika maisha mapya ya upendo uliojaa tele.
 
Daaah! Maneno matamu kabisa haya Mkuu ila sasa ukayahitimishe kwa vitendo huko home kwako maana sina hakika kama Mkeo ni Member humu na kaona ulivyompa mapwenti kiasi hicho.

Barikiwa Mkuu wewe na Mkeo kila kukicha japo pia niseme na wengine muige mfano mtupende wake zenu kama tuwapendavyo kwani sisi ndio ubavu wenu.

👏👏👏👏 Hongera sana mleta uzi.
Haswa wanaume wa Muheza tuna wapenda wake zetu haswa
 
Daaah! Maneno matamu kabisa haya Mkuu ila sasa ukayahitimishe kwa vitendo huko home kwako maana sina hakika kama Mkeo ni Member humu na kaona ulivyompa mapwenti kiasi hicho.

Barikiwa Mkuu wewe na Mkeo kila kukicha japo pia niseme na wengine muige mfano mtupende wake zenu kama tuwapendavyo kwani sisi ndio ubavu wenu.

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Hongera sana mleta uzi.
Sisi tumeamua kuwa waaminifu. Na kuwapenda.

Nanyinyi muamue sasa kutupenda kwa moyo wote. Hakika inapendeza saaana.
 
Usipompenda mke wako utampenda nani sasa mheshimiwa? Jambo jema kuonyesha mapenzi ya kweli kwa familia.
Jitahidi tu utimize haya matamanio na makusudio yako, kuamua kujirekebisha ni jambo moja na rahisi sana (Kila mtu anaweza), lakini kutekeleza ndio kunapowatofautisha watu.
 
Back
Top Bottom