I Love you my wife, i really love you


Ungeonaje kama ungemtoa out na ukamwambia hayo maneno yote kuliko kuleta hapa
 
Asante kwa kutukumbusha "Mkewangu Nakupenda Sana Wewe ni Takaso la Moyo Wangu"
 
'Nawapenda wote mnaonipenda, pia upendo wangu wa dhati uende kwa mke wangu na watoto wangu'
 
Umenena kiume,kiungwana na kiutu uzima....haya ndiyo tubayotaka kuyaona kwa vijana wetu,hongera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…