roho mtakatifu na papuchi wapi na wapiNadhani unamaanisha roho Mtakatifu(MUNGU)
Lugha ya picha hiyo
Yani ukitaka tukosane ujichanganye uniandikie mada ya I love you,
Moja ya benki kubwa NchiniMbona unakuwa mnyonge mapema kiongozi? Pambana
Hiyo ni benki au M-Koba?
Eti wananiona kama mkate🤣🤣Kwani wanakuchukuliaje hawa jamaa?
Achana nao! Lakini usikonde, hakuna mtu anaweza kushusha hadhi au thamani Kwa maneno. Unawaangalia tu.Eti wananiona kama mkate🤣🤣
Mbinu za platinum member kujichotea mali😒😒Achana nao! Lakini usikonde, hakuna mtu anaweza kushusha hadhi au thamani Kwa maneno. Unawaangalia tu.
Bila shaka uko salama
Gen Z hawa twende nao mdogo mdogo kabla hawajakinukishaAchana nao! Lakini usikonde, hakuna mtu anaweza kushusha hadhi au thamani Kwa maneno. Unawaangalia tu.
Bila shaka uko salama
Sawa Mkuu, basi tunakusihi usitoe pesa zako tusije kufunga benki yetu tafadhali.Moja ya benki kubwa Nchini
Gen Z hawa twende nao mdogo mdogo kabla hawajakinukisha
MonkMbinu za platinum member kujichotea mali😒😒
Sijaachia kijiti, ila ukiona mtu anakuja front namna hii lazima utakuwa na hofu🤣🤣🤣tatizo unaachia kijiti mapema sana 😅😅😅😅
Kiongozi hata hauvuti vuti muda usikie majibu ya mlengwa umeshacheua?Sijaachia kijiti, ila ukiona mtu anakuja front namna hii lazima utakuwa na hofu🤣🤣🤣
Unawezekana piaWewe ni dada yake mpaka nikudhibitishie?
Ahahaha sawani Jamii Forum member