Bila shaka wewe unazimikia nakupenda
na si i love you
He he he, vina na mizani vimetulia hapa
Hapa sina wasi
Nimejaa si kwa kiasi
Bila kasi
Nasubiri pasi
Nimeshachukua nafasi
Hata kusema 'i miss you" umeshindwa
mmmh! huwa namiss ajira yangu tu na si vinginevyo
aya sasa umeanza kama kawaida kuleta ya nyuma mbele ya mbele nyuma mashairi ya nini sasa kwenye kuoanisha maneno haya? ama ndo wamzimikia mdogo wangu bro wa ukweli platozoom? nakuona easting na deflection unazipimia kwa mbali kweli sikuwez.