I love you...

Ooooh Gosh!
Too bad for you!
I knew it...I knew it!
Why too bad? soma signature yangu. Kila kitu comes for a reason. This separation ni wakati wakutafakari tena sababu msingi zinazofanya pemzi letu kua na nguvu, na namna gani tunaweza kuhimarisha hisia zetu na kujenga familia yetu.
Ila we see eachother everytime we can
 

Naamini hawa bado ni wachumba.....Au ndo wako kwenye fungate la siku 100!!
 
Ooh me lov the way u lov ur hubby! Wishing u many years, together.
Thank you hun. Nilianzisha ingine thread juzi, wakaja wachakachuaji profeshono wakanipotezea mada kabisa, hadi ikafutwa! but I hope this one stays...
 
Naamini hawa bado ni wachumba.....Au ndo wako kwenye fungate la siku 100!!
Yes, alie andika inaonekana bado hawajaoana na ukisoma kwa ndani ni kama dada ndie kapenda, na anaota mwanaume atamchumbia na kumuoa.
Ila mimi namtumia mume wangu ajue tu kua nampenda kama vile nilivokua nampenda siku za kwanza (probably more in fact)
Na pia nawatakia wote wenye kupenda/kupendwa waburudike kwa shairi.
 
So you wanna mean that those living together day in-day out don' get enough tym to digest matters, right?
 
Ni raha sana unapokuwa una imani kuwa unamfanya mtu fulani awe na amani na furaha sababu yako, isiwe kinyume chake lakini!

Aiseee. . .
Hongereni sana wapendaji na wapendwaji...I hope it lasts (kwako pia RR).
 

Ni jitihada nzuri....Nakuombea mambo yaende kwa mwendo wa piston!!
 
Aiseee. . .
Hongereni sana wapendaji na wapendwaji...I hope it lasts (kwako pia RR).
Lizzy, raha ya kupendwa kwanza ni kwamba inatoa ile insecurity na ma wivu ya kijinga. you move out from kukaguana ma sms, kusambishana kuhusu marafiki, na mnafocus on being there for each other at any time. Furaha yako ni kumuona akifanikiwa, na furaha yake ni kukuona ukifanikiwa.
 
Aiseee. . .
Hongereni sana wapendaji na wapendwaji...I hope it lasts (kwako pia RR).

Ahsante Lizzy,

Nikiwa mmoja wao, nakushukuru kwa kuturushia pongezi....

Ni kweli kuna kipindi unamwona menzio kama vile ndiyo mmeonana leo....Hata hivyo kuna mida unatamani itokee rift valley katikati yenu ili walau upate break!! Ni biashara ya ajabu sana kama ya bangi!!
 
Biashara ya bangi na mapenzi wapi na wapi?
Kwa kweli inatokea kiwango cha mapenzi kipande na kishuke. na ndio maana sio kila siku nafungua uzi kama huu. kwa sasa mi niko katika kipindi where gauge iko juu, juu, juu sana πŸ™‚
 
True that....im so deep in love.....
Lucky you! jifungue, mwambie. maybe she knows, ila it is good to hear it, and to be reminded as often as possible. kwa maneno na matendo... :mwaaah: :busu
I hope she loves you too
 
Hongera mwaya kwa kua umekomaa kimapenzi.Wengi wanapenda na kupendwa ila wanashindwana kwa uchanga (mawivu na kuchunguzana kama virus na bacteria vilivyopo maabara) tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…