I love you...

"Find a guy who calls you beautiful instead of hot,
who calls you back when you hang up on him,
who will lie under the stars and listen to your heartbeat,
or will stay awake just to watch you sleep...

wait for the boy who kisses your forehead,
who wants to show you off to the world when you are in sweats,
who holds your hand in front of his friends,
who thinks you're just as pretty without makeup on.

One who is constantly reminding you of how much he cares
and how lucky his is to have you....
The one who turns to his friends and says, 'that's her.'"
 
Biashara ya bangi na mapenzi wapi na wapi?
Kwa kweli inatokea kiwango cha mapenzi kipande na kishuke. na ndio maana sio kila siku nafungua uzi kama huu. kwa sasa mi niko katika kipindi where gauge iko juu, juu, juu sana 🙂

Hongera sana RR,

Piga magoti umshukuru sana Mungu wako.....Hizi ni chance ambazo zinapatika kwa nadra sana!!

Make sure you grab and use it maximally!!
 
Babu DC kama kuna mtu mlibadilishana password ya JF earlier hivi!!!
Nwy nafurahi kusikia kwamba bibi nae anapendwa sana.Uendelee hivyo hivyo maana kwa yeye kukupenda anastahili wewe kumpenda.
 
Hongera mwaya kwa kua umekomaa kimapenzi.Wengi wanapenda na kupendwa ila wanashindwana kwa uchanga (mawivu na kuchunguzana kama virus na bacteria vilivyopo maabara) tu.
Uzuri wa hivi vitu (na ubaya wake maybe) ni kwamba ni kuamua tu. Ukiamua kufocus kwa vitu vizuri utaona vizuri zinaongezeka. Now I am not naive, matatizo kwenye mapenzi yapo, ila hata namna ya kutatua matatizo yako solution oriented, wewe na yeye against the problem, na sio wewe against yeye and the problem just materialize in another incident.
 
Lucky you! jifungue, mwambie. maybe she knows, ila it is good to hear it, and to be reminded as often as possible. kwa maneno na matendo... :mwaaah: :busu
I hope she loves you too

I always tell her...she knows what she means to me...
 
Babu DC kama kuna mtu mlibadilishana password ya JF earlier hivi!!!
Nwy nafurahi kusikia kwamba bibi nae anapendwa sana.Uendelee hivyo hivyo maana kwa yeye kukupenda anastahili wewe kumpenda.

Hahahahahhahahhahah,

Umenitesea mbavu zangu Lizzy...

Unajua, Babu DC anawapenda wajukuu zake. Kwa hiyo anawapa kila stadi za maisha ziwasaidie maishani....Tatizo ni kwamba wajukuu wanapenda sana kuchagua recipe!!

Anyway.....Babu DC ni husband wa ukweli kabisa....!!!
 
Ooowww.. sooo sweet!:hug:
 
hhhooooooooooh... RR you have made my day!!!

I salute you for real, for you have found the pill
for there aint a deal, as a true love we feel

I LOVE THIS POEM AND I LOVE THE LOVE YOU HAVE FOR THE ONE...
 
Huu ndio ukomavu wenyewe.Natumaini nasie tutajifunza for future use. "Your partner is not the enemy, your problems are.If you side up together there is a better chance of winning against them." toka kwa Lizzy,kwa hisani ya RR.
 
Heheheh,babu mi nasema tu ukweli maana yale uliyoshauri ni tofauti na unayofanya. Kwanini usishauri na wengine kua waume wa ukweli wajukuu tusiogope?
 
Mnatabu nyie mnaopenda kheri yetu sisi tunao tamani.
 
hhhooooooooooh... RR you have made my day!!!

I salute you for real, for you have found the pill
for there aint a deal, as a true love we feel

I LOVE THIS POEM AND I LOVE THE LOVE YOU HAVE FOR THE ONE...
Thank you MTM,
Thank you for liking it. I hope my love is contagious and it will awaken your love for your sweetheart. Go ahead and write her some beautiful rhymes like the ones you have just composed!
 
Huu ndio ukomavu wenyewe.Natumaini nasie tutajifunza for future use. "Your partner is not the enemy, your problems are.If you side up together there is a better chance of winning against them." toka kwa Lizzy,kwa hisani ya RR.

Bacause Lizzy can say it so much better! thank you for summarizing nilicho taka kusema
 
Heheheh,babu mi nasema tu ukweli maana yale uliyoshauri ni tofauti na unayofanya. Kwanini usishauri na wengine kua waume wa ukweli wajukuu tusiogope?

Mhhhh Lizzy,

Mie nimewataarifu nyie jinsii wanaume walivyo na sikutoa ushauri wowote kwa vijana kuwanyanyasa wake au GFs wao!!

Kama si hivyo, nambie nirudie kuisoma ile mada!!
 
Mhhhh Lizzy,

Mie nimewataarifu nyie jinsii wanaume walivyo na sikutoa ushauri wowote kwa vijana kuwanyanyasa wake au GFs wao!!

Kama si hivyo, nambie nirudie kuisoma ile mada!!

Babu kile ni kielelezo tosha kwamba unaruhusu/support.Unapokua unaongelea jambo bila kujali hisia za atakaetendewa unamwoshesha yule mtendaji kwamba matendo yake yanaruhusiwa.Yani sisi ndio tuzoee na sio nyie mjali na kufanya yale ambayo hata nyie mgependa kufanyiwa.

@RR you are welcome darling and thank you for insipiring others.
 
Thank you MTM,
Thank you for liking it. I hope my love is contagious and it will awaken your love for your sweetheart. Go ahead and write her some beautiful rhymes like the ones you have just composed!
yeah kamanda.......

I just sent her a letter (real letter) reminiscing those days when you use to received scented letters during evening parade

what a lovely mood you bring, patia jamaa double blue label kwa bili yangu!!
 
I am very sorry Lizzy,

Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…