I love you...

ahhhhh
kwa taarifa yako nimewapanga .
hahahahahah lol. ila sitaki wanipenda kwa
ninachokifanya au kwa sababu ya kitu fulani.
Nataka atakae mpenda Afrod kama Afrod. ..
Hehehehehehehe , halo haloooooooo.
 
Weeeeeeee kakondoo.Really?
Mama mchungaji is excited and happy for ya.Ila sasa inabidi zile kazi aanze kusaidia ili niwe namfagilia.

yalaaa yaani huko umeingia chaka kabisa, nigee sh. 5 kubwa nikwambie!!
 
yalaaa yaani huko umeingia chaka kabisa, nigee sh. 5 kubwa nikwambie!!

Sasa ndio nini kumrusha roho mama mchungaji?
Niambie bana. . . nakusubiria pale uchochoroni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…