mbake
Wana JF naomba mnishauri kitu mimi kuna dada mmoja ninampenda sana na yeye analifahamu hilo maana nimewahi kumueleza kwamba nina mpenda sana ningependa tuoane, akaniambia hapana maana yeye hana mpango wa kuwa na mimi na kuishi nami kama mkewe japo, huwa ananitumiaga meseji mara kwa mara kwamba ananipenda, mpaka sasa amenitumia meseji kumi na nne zinazosema ''I love you'' siku tofauti tofauti, mara tatu nilimuomba tutoke alikubari lakini nikimueleza suala la kuoana anakataa, nikiomba kufanya naye mapenzi hataki, kumbuka ninampenda kweli, huu ni mwezi wa sita ananifanyia hivi. nifanyeje na huyu dada?
Mchunie kama wiki hivi; hupokei simu, hujibu meseji, humtembelei. Siku akikuona baada ya huo mchuno lazima akubake.
Wana JF naomba mnishauri kitu mimi kuna dada mmoja ninampenda sana na yeye analifahamu hilo maana nimewahi kumueleza kwamba nina mpenda sana ningependa tuoane, akaniambia hapana maana yeye hana mpango wa kuwa na mimi na kuishi nami kama mkewe japo, huwa ananitumiaga meseji mara kwa mara kwamba ananipenda, mpaka sasa amenitumia meseji kumi na nne zinazosema ''I love you'' siku tofauti tofauti, mara tatu nilimuomba tutoke alikubari lakini nikimueleza suala la kuoana anakataa, nikiomba kufanya naye mapenzi hataki, kumbuka ninampenda kweli, huu ni mwezi wa sita ananifanyia hivi. nifanyeje na huyu dada?
Wanakuwaga na mashine mbili hao,usimng'an'ganie sana msije enda room akakugeuza
we girls sometimes,when we say no we mean yes and vice versa!...inawezekana amekupenda kweli anataka kujua msimamo wako juu yake..jifanye hauko kingono zaidi you mean long term relationship,,,atajileta mwenyewe...
inawezekana pia wewe ni plan B wake,akikosa anayemtaka atasettle na wewe,kifupi amekuweka pending...pole!
mwendee hivyo hivyo steady,,,akikutumia messages na wewe mjibu....:teeth:
in the mean time ingependeza na wewe ukawa na plan B,:embarrassed:
ha ha hha. Home of Great thinkers??? eeehhlabda anaogopa nywele za usoni
kWanakuwaga na mashine mbili hao,usimng'an'ganie sana msije enda room akakugeuza