Yuda Legacy
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 778
- 2,764
WAPI KWENYE BIBLIA IMEANDIKWA KWAMBA KITU CHA ASILI NI NGONOMambo ya ndoa ni ustaarabu wa tangu kale tulio jiwekea binadamu tu ili kujitofautisha na hayawani wengne na sio kitu cha asili kitu cha asili ni ngono kati ya mwanamke na mwanaume tu .
Nan kakuambia ana aishi kufuata biblia.WAPI KWENYE BIBLIA IMEANDIKWA KWAMBA KITU CHA ASILI NI NGONO
Sent from my OPPO A37m using JamiiForums mobile app
Aaaaaya jamn nielew basikinga muhimu usisahau
Hongera sanaAmen
Ila me Nina wangu yuko kwenye avatar
Wewe ni Msabato unayejitambua, na kambi ilikuwa Kisarawe!Happy Saturday wananchi wa Sameer
Kama kichwa cha Uzi kinavyosomeka Sina Nia ya kumpoint mtu au Sina Nia Mbaya kuleta Uzi huu.
Back to our mission
Nimejiunga na JF Sina mda mrefu Sana Ila nimegundua vijana wengi ni wawindaji wa Mambo flani (hunting for women). Yani mtu huna hili wala lile unashangaa mesej hiyooo mtu anaomba utelezi live. Nilishangaa Ila nikakumbuka kwamba haya Mambo ni sehemu ya maisha ya kila siku. Hata Sisi bila utelezi tusingezaliwa.
Lakini pia Hii ni kawaida kabisa popote pale unapokusanya watu wa jinsia tofauti tofauti ni lazima Mambo ya kuhusiana na kujamiiana (socialization) yawepo.
Juzi juzi tulienda camp ya week moja iliyofanyika mkoa wa pwani iliyokusanya vijana na watoto wa dhehebu flani zaidi ya 2800 huwezi amini wapo vijana walifumaniwa wakifanya mapenzi porini.
Kwa hiyo ushauri wangu kwa vijana wawindaji msisahau kuwa makini na kutumia zana kwenye mawindo yenu. HIV is real.
Asanteni
# Bugal
Wako ni mweusi, mwenzako anatafuta mweupe kiujanjaAmen
Ila me Nina wangu yuko kwenye avatar
Muwe mnatumia zana wakati wa kubanjuana.. magonjwa ya zinaa yapoHadithi yako inafundisha nini?
Anataka mweupe kwa ajili ya watoto wapate rangiWako ni mweusi, mwenzako anatafuta mweupe kiujanja
Sababu ya kutopenda wanaume wa aina hii
Wanawake wengi hawapendi kuwa na mahusiano na wanaume weupe. Sababu zangu mimi binafsi naona mwanaume mweupe ananifunika. Yeye anaonekana zaidi kuliko mimi. Mimi maji ya kunde. Nataka mwanaume awe mweusi tunapokuwa pamoja nionekane mimi kwanza. Ila kwenye kuzaa nataka nizae na mwanaume mweupe...www.jamiiforums.com
Kwani Kuna wanaopiga kavu?Muwe mnatumia zana wakati wa kubanjuana.. magonjwa ya zinaa yapo
Kavu tamuKwani Kuna wanaopiga kavu?
Wengi sanaKwani Kuna wanaopiga kavu?
Ukute ile umekaa na upwiru muda mrefu kama miezi miwili plus....ukikutana nayo dabi iwe mnofu Vs mnofuKavu tamu