I Miss U. Greetings from Bukoba Club

huu sasa ni mchanganyiko wa honeymoon na honey sun.
Business with leisure
Bujibuji wakati mwingine unafurahisha kweli maana nimecheka mbavu sina eti honeymoon na honey sun....sasa mbona hujaunganisha likawa neno moja honeysun
 
Mkuu nenda mpaka Amugege Itahwa Jumapili upate rubisi,enkonyagi,ekimpumu,amameshe toka insisha,ebalagala,obugena etc
 
Salamu zinarushwa live and exclussive kutoka Bukoba Club. Nimewamiss sana wana MMU

Ukipata muda tembelea pia Spice Motel kwa ajili ya sato wa kuchoma na gonja za kuchoma!
 
Salamu zimefika,tumezipokea.

Msalimie baba Kokuu.
 
Hivi ule uwanja wa Gymkhana bado uko safi?, nshami nao bado wanafurika wakipitia kile kisiwa cha Musira? (Sikumbuki vizuri jina lake), nikuwa na mshikaji wangu pale wa kike ana maji ya kutosha. Loo, Bk hiyo sijui nitarudi lini tena!. Miss you beautiful ladies of Bk with big legs like elephants.
 

nina picha nzuri sana nimepiga Musira, ntakutumia
 

Lile kanisa kubwa kaka bado hawajamaliza kulijenga sijui litaisha lini? Mengine uliyouliza yanaendelea kama kawa,
 
Haya kaka Bujibuji W'end njema, Wasalimie woote, Chonka kolagaluka otayebwa ekilibwa, ebikwala ne nshoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…