I miss you - Dedication kwenu mnaowamisi watu

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
59,415
Reaction score
119,473
[Verse 1]
Hello, hapo vipi sijui unanisikia
Hello, na maneno natamani kukwambia
Hello, tafadhali usije nikatia
Hello ooh, ona mpaka nasahau kusalimia
Habari gani? Leo nimekukumbuka sana
Na mama yaani, twakuwazaga
Vipi nyumbani, hali ya mumeo na wana?
Na aunty Shani, wa Chimwaga
Anha Kile kidonda changu cha roho
Bado kinanitia tabu
Najitahidi kukaza roho
Ila nazidisha adhabu
Tena silali oh
Nasubiri maajabu
Maumivu yangu hayajapata dawa

[Chorus]
Maana I miss you (nakukumbuka iye iye) nakukumbuka baby
I miss you (nakukumbuka iye iye)
I do miss you (nakukumbuka iye iye) nakukumbuka mama
I miss you (nakukumbuka iye iye)

[Bridge]
Ooh na roho yangu mama (bigili bigili)
Ah nikikuwaza (bigili bigili)
Nikisinzia (Bigili bigili bayoyo)
Oh nikilala (bigili bigili)
Inama inuka woh (bigili bigili)
Nami sina raha (Bigili bigili bayoyo)

Sent using Jamii Forums mobile app

[Verse 2]
Tatizo hata sijui nini kosa langu
Mpaka nikawa adui ghafla ukanichukiaga
Nawaza ila siambui ama shida zangu uuu..
Simba nikawa chui mi roho inaniumaga
Yawezekana ahadi zangu zisizotimia
Ndio maana haukutaka kusubiria
Nasema nyama mwisho wa siku naleta bamia
Chai mchana usiku dona kurumaghia
Nilitamani sana ila nguvu yangu pale iliishia
Ningalikua na uwezo ningekutimizia
Ningali unafuraha haya maumivu ntayavumilia
Ila japo nambie ivi unanifikiria maana eh eeh

[Chorus]
Nakumkumbuka iyeh iyeh (nakumkumbuka sana ooh)
I miss you (nakukumbuka iye iye)
Nakumkumbuka sana ooh
I miss you (nakukumbuka iye iye)
I miss you (nakukumbuka iye iye)
I miss you (nakukumbuka iye iye)

[Bridge]
Ooh na roho yangu mama (bigili bigili)
Ah nikikuwaza (bigili bigili)
Nikisinzia (Bigili bigili bayoyo)
Oh nikilala (bigili bigili)
Inama inuka woh (bigili bigili)
Nami sina raha (Bigili bigili bayoyo)
Hata nikila (bigili bigili)
Nikikuwaza (bigili bigili)
Nikiiii nana
(Bigili bigili bayoyo)
Ooh na roho yangu mama (bigili bigili)
Ah nikikuwaza (bigili bigili)
Nikisinzia (Bigili bigili bayoyo)

Hata nikila


 
Pale umemaliza kuangalia wakorea..ukataka kula lakini ukagundua huwezi sababu ile ndoto ya kudownload pesa haiwezekani..ukitizama wa kujipendekeza akupe hela hayupo

Ndipo unapoanza kuharisha vitunguu swaumu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakusamehe bure ila waliokuleta mjini waambie wakutembeze kuna vitu vipya vingi maana inaonyesha wamekuonyesha vitunguu swaumu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…