I Miss You Heaven Sent

Mkuu vipi bana ,hiyo ilikuwa gia ya kuingilia kwa huyu mwanadada si unajua sio lazima wote tuseme sijui i miss you ,i love u heaven sent bla bla

Wewe unapigilia msumari inajulikana ..ni kweli inajulikana ?
Don't take everything serious.
This is for fun. Simfahamu huyo HS.
 
Yupi huyo?
Yeeeees!!.....Namaanisha wewe wewe!![emoji7] [emoji7] [emoji7].....Huwa mara nyingi nakutambua kwa style ya nywele zako kwenye hiyo picha yako hapo kwenye avatar kwa sababu majina ya Heaven sijui nini nini yapo mengi hapa JF!!
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] balaa gan tena hili??
 
Yeeeees!!.....Namaanisha wewe wewe!![emoji7] [emoji7] [emoji7].....Huwa mara nyingi nakutambua kwa style ya nywele zako kwenye hiyo picha yako hapo kwenye avatar kwa sababu majina ya Heaven sijui nini nini yapo mengi hapa JF!!
Haha haya na dreads za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…