I Miss You Heaven Sent

Mmh sio kwa kunidogosha huko
Sista watu wametengeza tasfiri ya neno (mtoto) kibongo bongo,so mkuu hapo juu nazani alijimilikisha ndio maana anamwambia mwanzisha uzi asiingie anga hizo Maana HS ana mtu wake,pia muda mwingine inatumika kumaanisha msichana,mfano unakutana na mtu ansema ‘‘nimekutana na mtoto mkali",hapo anakuwa na maana ya kukutana na msichana mrembo kama wa kwenye avatar yako hapo,so mkuu alichokosea hapo alisahau kuwa wewe ni dada mtumishi(joking) haujui maneno ya mtaa.,
 
Haha sasa mmama kama mimi kuitwa "mtoto" mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…