Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kama kweli mnapendana sana na mna mawasiliano ya kila siku ama ya kuwa pamoja, kuongea kwa simu n.k. basi ikitokea hamjaonana au kuongea kwa siku mbili tatu hali huwa hivyo kwamba kila mtu ana mmiss mwenziye...na hata I love you na mwingine ataongezea I love you too.
Lakini Bubu, ninachosema mimi ni kwamba, tuseme wewe na demu wako na hamjaonana wala kuwasiliana kwa siku kadhaa na pengine labda wote mlikumbukana ktk kipindi hicho cha ukimya. Mkaja mkawasiliana na demu akakwambia 'I missed you' na wewe ukamwambia 'I missed you too'....ina maana 'I miss you' yako siyo sincere kwa vile hukuanza kusema wewe hiyo 'I miss you? Kwangu mimi haijalishi nani kaanza kusema.....
Nyani Ngabu naona umeamua kweli kweli ni penzi gani hilo linakuchanganya ? naona msimu huu umeibuka na matopic ya malav dav tu ...kulikoni?
What is happening to NN? JUST CURIOUS!:yuck:
I need love
Jamani nauliza tu kutokana na observation yangu na lived experience yangu. Hivi kwa nini mtu anapokwambia kuwa ameku-miss na wewe almost automatically utamwambia 'I miss you too'....Je ina maana kwa vile wewe hukuanza kumwambia kuwa umem-miss basi 'I miss you too' yako si ya kiaminifu, kwamba haijatoka moyoni kwa hiyo hukuimaanisha. Umesema hivyo kwa vile tu yeye kasema kwanza?
did you sleep well SM??
I slept like a baby.........
I need love
Things that make you go hhmmmmm............
:confused3::rolleyez:
Sugar Cake...are u ok?