I miss you.....I miss you too...I miss you more....I miss you most.....


Kwa uhakika siyo "sincere" Ni mazoea ya "Kitanzania"

Swali: Habari ya Asubuhi? Jibu: Nzuri (hata kama mtu hajapata kifungua kinywa au ana Homa)!

Q: How are you? A: I'm fine senkyu (regardless)


Ni mambo ya mazoea na hakuna u-"sincere" wowote
 
Kamanda umenifurahisha sana. Unanikumbusha jamaa mmoja aliyeulizwa na mwalimu wake kama ana kawaida ya kusafiri sehemu tofauti mara kwa mara. Jamaa akajibu, huwa nasafiri sana. Mwalimu akamuuliza tena, kwahiyo wewe unaijua sana Jiografia? Jamaa akajibu, naijua sana, tena kwa taarifa yako nilipokuwa nakuja hapa, gari iliharibikia hapo jiografia tukakaa hapo kama nusu saa hivi!
 
HEHE SIKU MOJA NILIPIGWA HIYO,``I MISS YOU``,NIKAITIKIA ME TOO,OOH WACHA JAMAA AKURUPUKE `YOU MISS YOURSELF TOO?? IKABIDI NIYAYUSHE`OOH NO I MEAN I MISS YOU`.BTW NILIKUA SIM-MISS WALA NINI😛ainkiller:
 
Daa,yaani umesema kweli kabisa..hata mimi huwa nashangaa ni lazima atajibu hivyo tu,hata ukimwambia Nakupenda naye atakujibu nakupenda pia..Hivi ni lazima kujibu hivyo?
 
HEHE SIKU MOJA NILIPIGWA HIYO,``I MISS YOU``,NIKAITIKIA ME TOO,OOH WACHA JAMAA AKURUPUKE `YOU MISS YOURSELF TOO?? IKABIDI NIYAYUSHE`OOH NO I MEAN I MISS YOU`.BTW NILIKUA SIM-MISS WALA NINI😛ainkiller:

ha ha ha!umenichekesha mpaka basi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…