kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Back in 2012 enzi Nokia bado imeshika hatamu.Simu yangu ya kwanza kununua kwa hela yangu 125,000 enzi za MidCom ndo wakala wa Nokia.
Simu ilikia na battan smooth and soft kwa wale wanaopenda kuchati haina kelele. Software iko fasts ukitype unachek kwenye screen maneno yanavyojitype very fast.
Camera nzuri ila sio clear kivile but ilikua bomba.
Line unatolea pembeni sio mpaka utoe betri ndo ilikua habari ya mjini kwa enzi zile.
Kwenye sauti aisee sijui Nokia walifanyaje sauti ilikua inasikika clear hakuna makelele ya kuumiza masikio. By tume ilikua ni mwendo wa kubadili beri tuu maisha yanasonga.
Sasa natumia simu za gharama but nikikumbuka ile Nokia C2-00 nakumbuka mengi sana. Haikua na mambo mengi but "FriendlySimu nimedumu nayo mpaka 2015 nikaamua kuigawa ikiwa bado bomba sana.