Sura-ya-Kwanza
JF-Expert Member
- Nov 17, 2007
- 568
- 12
Yaani nime miss JF Ville naona mambo giladi mdundo!
Kwa wale ambao hatuja tambulishana basi tufanye hivyo
Kwa wale tunaokurupushana/tuliowezakukurupushana, I miss You!
SyK,
Nimemiss sana mathread na mapost yako.
Karibu tena.
Ahsante Tena!:glasses-nerdy:Karibu Tena
Uwani:fear: mhh, Biriani poa !Hebu karibu uwani tule biriani kwanza
Haya karibu na dhani wewe ni mkonwe unajua kila sehemu katika hii nyumba
Where were you?
Yaani nime miss JF Ville naona mambo giladi mdundo!
Kwa wale ambao hatuja tambulishana basi tufanye hivyo
Kwa wale tunaokurupushana/tuliowezakukurupushana, I miss You!
Hebu karibu uwani tule biriani kwanza