I need a born again husband

Sii umesema hamna kutiana mpaka ndoa?
Sasa hapo kwenye "no6" vp tena?ni bora mkapima mkikaribia ndoa,hiyo "no 6 futa"
 
Mume mcha Mungu utamjua kupitia matangazo katika social networks? Muombe Mungu wako,ila tambua hakuna aliyekamilika kwa asilimia mia.
Wewe mwenyewe nina hakika utakuwa haujakamilika au hauna vile vigezo ambavyo mwanaume mwingine anataka.
 
Reactions: Ely
Pole dada, it does not work like that. Mme hachaguliwi hivyo, ukitaka kumaintain hivyo vigezo utakufa bila kuolewa. Kama wewe ni mcha Mungu kwanini hujamwachia Mungu akupe aliyekuandalia badala yake unampangia Mungu aina ya mme unayemtaka. Eti unachagua hadi rangi? Suppose Mungu kakuandalia mzungu? Sugua goti dada, mwambie Mungu unataka kuolewa sasa. Kama imani yako ni haba basi ondoa vigezo and allow any opportunity around you.
 
Nakutakia kila la heri but kuna biblical ways za kupata hilo hitaji lako pliz zitumie na uwe makini usije juta baadae halafu ukaanza kuwaomba wapendwa wakuombee
 
Nakutakia kila la heri but kuna biblical ways za kupata hilo hitaji lako pliz zitumie na uwe makini usije juta baadae halafu ukaanza kuwaomba wapendwa wakuombee

asante mr.alex umeongea la maana,nashukuru nitalitendea kazi hilo,Mungu akubariki!
 
Siku hizi hakuna kuuziana mbuzi kwenye gunia. Lazima watu wafungue champaigne tena ikibidi unaweka na attachment kabisa ndo unachukua mzigo. Sasa iyo condition yako ya hadi ndoa ndo ........! Labda umloge mtu kwanza.
 
mlokole mbaguzi,wachaga wamekufanya nini?
 
Mimi nina vingele vingi hapo sema cha mchaga ndio kimeni-discolify,vp utanifikiria?
 
Piga goti uombe ukiwa vere siriaz, tena u2bu kwa dhambi ya ubaguz wa wachaga, mi nawaheshm wachaga wame2letea maduka had kijjn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…