Mm ni msichana wa miaka 25,natafuta mume ambae ameokoka awe na sifa zifuatazo:
1.Ameokoka na kuzaliwa mara ya pili
2.Mwenyehofu ya Mungu,mkweli,mwnye mapenzi ya dhati
3.awe ambaye hajawahi kuishi kinyumba na mwnamke yeyote,asiwe na mtoto
4.awe na kazi inayomudu kutunza familia
5.awe tayari kutofanya mapenzi hadi ndoa.
6.awe tayari kupima afya yake kila baada ya miezi mitatu
7.mweusi wastani,kabila lolote ila asiwe mchaga,mrefu wastani si mnene si mwembamba,awe wa dhehebu lolote la kipentekoste kama upo tayari jitokeze ntakupm!
Sifa zangu,
elimu ya diploma,si mfupi wala si mrefu,mweupe kiasi,mkali kwa asili nisiependa ujinga,najiheshimu sana,mchamungu na mwnye mapenzi ya dhati