I need a boyfriend

Status
Not open for further replies.
Kigezo cha awe na degree ni real au awe anajua kusoma, kuandika na kuongea kiingereza?
 
Walete Na Vyeti Sio Degree Za Hewani Kama Makondakta
 
Picha kwanz a nisije kuambie tuonane ikaja ikawa sura km tufali .na nakuona unaongea na simu kituo cha daladala nashindwa kukufata baada ya kuona sura.shahahah
 
UNA SHIDA NA LECTURER NINI??!!!DEGREE NA MAPENZI WAPI NA WAPI??!
 
Picha kwanz a nisije kuambie tuonane ikaja ikawa sura km tufali .na nakuona unaongea na simu kituo cha daladala nashindwa kukufata baada ya kuona sura.shahahah
Aisee mimi ni mbaya kweli so usinifate kabisa maana naogopa kukimbiwa
 
Mimi sina degree but I employed people with degree so I will take the one of my employee's..utanikubalia ... ? Kwasababu wadanyakazi wangu wote zaidi ya 24 nina copies zao
 
Mimi sina degree but I employed people with degree so I will take the one of my employee's..utanikubalia ... ? Kwasababu wadanyakazi wangu wote zaidi ya 24 nina copies zao
I don't get your point
 
Sasa kama unataka bwana je inakuaje siutataka mwenye chuo kabisa
 
Hellow:
Mimi ni msichana wa miaka 28 and am single,ningependa kupata boyfriend ambae nae yupo single
Vigezo:
Age: above 28
Education: degree and above
nimegudua hamna aliye serious humu PM za toka jana hazijajibiwa matu anaendelea ku komet,mdo maana jf watu wanaibeza
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…