Kitty Galore
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 345
- 100
tumia hii njia, kula kilo 2 ya nanasi kila cku kwa cku 3 mfululizo huku ukinywa maji kwa wingi,dont eat any thing other than nanasi,then pumzika cku 7 huku ukila chakula kama kawaida.baada ya cku saba kuisha kula tena kilo 2 za nanasi per day for 3 days, then pumzka for 7 days, utafanya hivyo mpaka ufikie kilo unazo taka. but make sure unaanza kupima uzito kabla ya diet kuanza, na pia pima uzito kila wiki.
kila nusu saa kabla ya chakula kunywa ml 500 za maji ya kawaida(siyo ya baridi) kisha hesabu masaa 2 kila baada ya kula kunywa tena ml 500 za maji, tembea kwa miguu bila kupumzika kutoka kituo A mpaka kituo B kwa muda wa dakika 60 asubuhi na jioni, usinywe soda yeyote. zaidi fuatisha link hii: uzito, unene na utipwatipwa | maajabu ya majiNinahitajika kupunguza kilo 6.1, hivi nitafanyaje kutatua hili tatizo. Ni tatizo kubwa sana kwangu.
Naomba msaada wenu kwa mwenye kuweza kunisaidia diet, na hata njia rahisi ya kuondoa hili tatizo.
Ninahitajika kupunguza kilo 6.1, hivi nitafanyaje kutatua hili tatizo. Ni tatizo kubwa sana kwangu.
Naomba msaada wenu kwa mwenye kuweza kunisaidia diet, na hata njia rahisi ya kuondoa hili tatizo.
I have 9 kgs to drop...hata pa kuanzia sina....
im not kidding! mm mwenyewe nimeshafanya mara moja na nimepungua ingawa sijaendelea kwan yamenikifu.i had 70 kg bt after this i have 67.5kg na hapo nilifanya mara moja.