I need a friends from Tanzania

braza ntafutie demu huko hata awe bonge hata awe mlemavu poa tu nakuombaa zingatia hata awe mbaya vipi as long as mzungu poa tu
 
Wee dogo Kibode sijui kimini au kishimizi mkome kumsumbua wifi yako nakuona toka jana unamfuatilia..
 
yes am not single

Sema "No, I am not single."

Kiingereza hakikubali kuchanganya hasi na chanya.

Kiswahili ukiulizwa "kwa hiyo hujaoa?" Kama bado hujaoa unatakiwa kusema "Ndio, sijaoa."

"Yes, I am not single" tuseme sisi tunaojifunza sio wewe Mmarekani unaetafuta soko la kuku wa kienyeji Tanzania.
 
Kwahiyo unataka kutuambia mlihama ukoo mzima !! Huo utanzania wako umekujaje, mpaka ukose hata ndugu Mmoja wa kukupokea....

Alafu siku hizi sio lazima ufikie kwa watu, mbona Wathungu.. Wanakuja wanaishia hotelini na wanaondokea huko huko hotelini bila hata ya kututafuta....!!!

Huku Vyuma Vimekaza, kama una alternative ya kufikia Hotelini don't come here...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asome kwanza kiingereza ndiyo aje hapa.

SIJUI KESHO.
 
Sasa unaona shida gani kutumia Kiswahili..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…