Ningependa kupata ushauri kutoka Zoom,mimi npo chuo kikuu ndo naingia mwaka wa 3 nasomea Business Administration in Accounting, session ya jioni,je kama tangazo la kazi limetoka linamtaka mtu mwenye Diploma na me sina Diploma naweza kuapply nikapata?