Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
Oi!....Nahitaji msaada kama kuna mtu anajua ku-design website....uNLess otherwsie ningekuwa najua ninegtengeneza mwenyewe...pleasee
kama yupo please naona uniandikie basi PM............ ili nikupe maelezo kamili nini nataka kwenye hiyo website na color and all the stuff.....si unajua uchumi mbaya sasa hivi so nahitaji kama kuna mtu wa free ambaye anaweza kunisaidia...this is very imprtant if not crucial.....
xoxo

I can do it. You are welcome to PM me for more discussion.
Hi Shem
Habari za siku! Just a warning to you, free stuff's are always expensive....
Yaani Thank you Outlier for helping me out ku-design website you were so helpfully..and it was nice talking to you yaani!......
Outlier can you sen me a PM me,mimi nataka kuona if I can be pushing some biz to you! Tunahitaji watu wenye moyo kama wa kwako. Congrats.
Kt