Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Check kikuu, zipo nyingi.Mambo wanajamii; nahitaji Macbook air 2020 13 inch covers zenye rangi rangi au picha km hii sio zile plain za rangi moja km Red cjui Blue au white nataka picha picha km izi pamoja na keyboard zake. Ambaye anauza aweke hapa na bei zake pamoja na acc zake za Insta au namba zake za whatsapp etc. Natanguliza shukrani.
View attachment 2974233
Zitakuwepo TZ tayari?? Ctak kusubiria mwezi kutoka China?Check kikuu, zipo nyingi.
Ni 14 days mzigo unakuwa ushafika. Ila kama una haraka, haya Kila la kheri kwenye utafutajiZitakuwepo TZ tayari?? Ctak kusubiria mwezi kutoka China?