Zeddicus JF-Expert Member Joined May 5, 2012 Posts 627 Reaction score 535 Sep 4, 2012 #1 I have admitted by TCU at IFM..i'm going to parsue Bsc in insurance and risk management...hivi hii coarse kuna uwezekano wa mtu kujiajiri baada ya kumaliza?..na vipi kama ukiajiliwa ina maslahi? I will appreciate your views..nawasilisha.
I have admitted by TCU at IFM..i'm going to parsue Bsc in insurance and risk management...hivi hii coarse kuna uwezekano wa mtu kujiajiri baada ya kumaliza?..na vipi kama ukiajiliwa ina maslahi? I will appreciate your views..nawasilisha.
K KALLAGO Member Joined Aug 7, 2012 Posts 47 Reaction score 6 Sep 4, 2012 #2 Itakuwa na ajira utaajiriwa may be bima
E E.c.K Member Joined Sep 4, 2012 Posts 6 Reaction score 0 Sep 4, 2012 #3 kuhusu kujiajili am not sure ila kuhusu kuajiliwa worry out hiyo ni dili sana coz mamifuko ya jamii yanawahitaji sana,we kakaze tu mjomba!
kuhusu kujiajili am not sure ila kuhusu kuajiliwa worry out hiyo ni dili sana coz mamifuko ya jamii yanawahitaji sana,we kakaze tu mjomba!