Mi Nimejifunza Na Nime Improve Sana.
Kilichonisaidia. Moja Ni Kusoma Vitabu, Hiki Ni Kitu Cha Msingi Sana Ukitaka Kujifunza Kiingereza!!, Soma Sana Vitabu,magazeti,majarida N.K so lazima viwe vigumu unaweza anza na zile short stories, ila zitakusaidia sana kwenye kujua mazungumzo baina ya watu wawili huendaje.
la pili, ni kuongea. wanasema practise makes perfect, ila ni ngumu kupata mtu wa kuzungumza nae ikiwa kampani yako siyo ya wasomi. mimi nilichofanya nilikuwa nasoma kwa sauti, yani kama ni kitabu nasoma kwa sauti na sio kimoyomoyo kama wengi wanavyofanya hii ilinisaidia sana kwenye matamshi na kujizoeza kutamka baadhi ya maneno ambayo ni magumu.
cha tatu ni kutazama movie zenye english subtitles hii ilinisaidia kujua maneno yanatamkwaje.
hivyo vitu vitatu vimenisaidia sana. zingatia na jaribu pia, natumai utafanikiwa..