'But kwa nini unachoka kuwa
single. Kumbuka kila wakati
unaopita kwako una sababu,'
mtu kawaida huchoshwa na kile alichonacho/kinachomkabili.
Hivyo jaribu kuwa mvumilivu na pia weka misingi iliyo imara ili kuja kukabiliana na hiyo hali unayoitaka ili na hiyo isije kukuchosha