I need your help plzzz!

I need your help plzzz!

Baby shangazi

Member
Joined
Mar 24, 2012
Posts
64
Reaction score
8
Heshima kwenu wadau, eti course ya GEOMATICS inahusiana na nin? Na vip soko lake katika ajira?
Nawasilisha.
 
Una access ya internet umeshindwa ku google? Labda utapata jibu haraka. Mengine subiri wajuao ila naamini kazi huwa zipo za kila aina duniani. Tabu inakuwa wewe mwenyewe, utaweza pata hiyo kazi?
 
Back
Top Bottom