B Baby shangazi Member Joined Mar 24, 2012 Posts 64 Reaction score 8 May 10, 2012 #1 Heshima kwenu wadau, eti course ya GEOMATICS inahusiana na nin? Na vip soko lake katika ajira? Nawasilisha.
Heshima kwenu wadau, eti course ya GEOMATICS inahusiana na nin? Na vip soko lake katika ajira? Nawasilisha.
mzurimie JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 6,143 Reaction score 3,625 May 10, 2012 #2 Una access ya internet umeshindwa ku google? Labda utapata jibu haraka. Mengine subiri wajuao ila naamini kazi huwa zipo za kila aina duniani. Tabu inakuwa wewe mwenyewe, utaweza pata hiyo kazi?
Una access ya internet umeshindwa ku google? Labda utapata jibu haraka. Mengine subiri wajuao ila naamini kazi huwa zipo za kila aina duniani. Tabu inakuwa wewe mwenyewe, utaweza pata hiyo kazi?