I nid ur help

Mentor you make my day
Yaani akifuata ushauri huu nafikiri matatizo yake yatakwisha kabisa
 
Trust the Almighty God He will never disappoint you or anyone else...........................and stay away from gals......................at least for now until your English improves......................
Kumbe Good English nayo inamata eeh! Habari yako Rutashubanyuma bwana.
 
Huo sasa Ujeuri.... Hatujakufundisha ujeuri to that extent!!! lol

Talking from experience..
Ongea kifaransa tu kwenye simu na mabinti wako pembeni. Ukikata tu simu, unaombwa namba...anaebisha aniambie!!!
 
Talking from experience..
Ongea kifaransa tu kwenye simu na mabinti wako pembeni. Ukikata tu simu, unaombwa namba...anaebisha aniambie!!!

ha ha ha .... Sina Jinsi hapo.... sina ujanja wa kubisha....

BTW Kizuri ni kwamba mpaka awe na confidence ya kukuomba

it means ni kiwango.... lol... (You know wat i mean bro....)
 
lol! u just turned my blue tuesday into a sparkling one (nawaza champagne hapa). Hahaha, until my english improves, i will really stay away from men!
Trust the Almighty God He will never disappoint you or anyone else...........................and stay away from gals......................at least for now until your English improves......................

sasa dear, si angeenda hosp labda watampa dawa. manake inaweza kuwa dalili ya minyoo or anything else,lol

dear jamaa anawashwa now we unataka amalize skuli ? lol!
 
umeniwahi...maneno sita ya mwanzo...
 
kiswahili ingeeleweka zaidi maana shule zetu za kata bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…