Diana-DaboDiff
JF-Expert Member
- Jul 13, 2009
- 376
- 19
Mume wako anakwambia alizaa na mke wa mtu ambaye alikuwa EX wake,unakubali kumsaidia kumpeleka mtoto hospitali na kusaidia mahitaji.Unapanga kumtafutia kazi mama huyo ili aweze kumtunza mtoto wake na kuwasaidia wakikwama.Huyu dada ni wakusifiwa sio kama walivyosema wengine eti kama hataki kulea mtoto aende zake,nawakilisha hoja.
Ndo maana nimedelete, nilianza kusoma hii kabla ya ya kwanza. kama unatapenda pia unaweza kudelete reply yako
duh... Kaizer na FP mmeipotezea thread kinamna