I really miss Pearl, .....yuko wapi?

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Posts
16,253
Reaction score
11,626
Huyo dada yuko wapi? Nilizoea kuona michango yake moto moto na mingine niliiona kama yenye utata vile. Ni muda mrefu sasa sijamwona jamvini. Kapotelea wapi jamani?


Hope ni mzima na anaendelea vizuri na biashara yake ya kuku wa kienyeji!!
 
therengeti therengetiiiiiii! wapi mamaa ya 2x2
 
Anawasalimia ni mzima... yuko kwa Madiba na bonge la "vuvuzela".. if you know what I don't mean..
 
Anawasalimia ni mzima... yuko kwa Madiba na bonge la "vuvuzela".. if you know what I don't mean..

Sasa huko kwa Madiba hakuna hata Cafe ya ku-surf ili achungulie chungulie watu wanavyodadavua mada hapa jamvini? Au kapigwa ban na Invisible kwa sababu siku hizi amekuwa mkali kuliko pili pili. Katika jitihada za kuonesha kuwa yeye siyo cheka cheka, anayekubwa na tingatinga anajuta kukutana naye!

Hope atarudi siku moja atupatie mshindo nyuma (feedback)!!
 
Kumbe tunashukuru sana kwa salam ...
nimemiss sana pia

We acha tu, kuna watu unawazoea utadhani mnaishi mtaa mmoja. Itabidi tuwaombe wakuu wawe wanatutengea siku walau moja ya get together ili siku hiyo na roll call ifanyike. Mtu anaweza kukumbwa na mafuriko watu wasijue. Hili jamvi hata silielewi kwa jinsi linavyolevya! Ni zaidi ya glass ya Xpini!
 
ha ha ha!
daki siti umeanza..................
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Hivi ni nani yule aliyetangaza posa kwa Pearl hapa JF nadhani ana habari zaidi juu ya Mamsap
 
anachunga mume na hii WC unajua lazima watu wakae chonjo!!! LOL!!!
 
Hivi ni nani yule aliyetangaza posa kwa Pearl hapa JF nadhani ana habari zaidi juu ya Mamsap

Kumbukumbu zako kiboko FL1. Yule dogo (mtata) alikuwa anaitwa Akili Kicwani ndiye alikuwa anafukuzia kivuli cha Pearl. Halafu wote wamepotea karibia wakati mmoja. Mhhhh, usijekuta vivuli vimekutana!!
 
ha ha ha!
daki siti umeanza..................
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

Kuna nini tena hapa ndugu yangu? Nimemkumbuka sana huyu dada kwani siku zote sikuwahi kumwelewa katika michango yake. Nilimwona mtata sana na ndo maana amenijia kicwani usiku wa jana. Kwani kuna tatizo gani hapo?

aah!niambie
MAMAA-LA-ROCK-CITY!:biggrin1::biggrin1::biggrin1:

Mbona leo mtu wa una jovial mood? Au appointment yako leo inakwenda vizuri? Hujanambia nini kinaendelea Saba saba. Hii kesi lazima nitamfute msaada. Mie huku Dom nashinda na wanene lakini mwenzagu unaninanga tu!

naona leo umeamka na furaha ...ndo mambo ya WC :biggrin1:

Nadhani jana alikuwa upande wa Paraguay au Spain!!
 
jamani mke wangu pearl yupo anaendelea vizuri sana sema tupo bze na wc na kutafuta mtoto aaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…