I really miss you, Raynavero

joshydama

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Posts
4,623
Reaction score
5,039
Habari wana MMU?

Ni kwamba Raynavero ni mwanachama wa JF hasa hapa MMU Pia mika ya 2015,2016 alikuwa ni attendant mzuri sana katika jukwaa hili la MMU.
Kwa muda huo alikuwa akitumia ID ya GENEVERO. Baadae alibadilisha jina na kujiita Raynavero.
Sijui ni kwa sababu gani alifanya ila yeye ndiyo ana sababu nzuri zilisababisha mpaka kubadilisha ID yake ya GENEVERO na kujiita Raynavero.
Huyo mdada ni mstaraabu sana na mwenye heshima na hekima zake.
Pia hana makuu kabisa.

Lengo kuu la kuleta huu uzi kuhusu RAYNAVERO ni kwamba nahitaji mwenye namba zake anisaidie kwa sababu nina shida nae au kama kuna yeyote anayejua anapokaa huyu mdada naomba nielekezwe.
Nitashukuru sana nikipata msaada juu ya hili suala.

Ahsanteni na karibuni Wanabodi wa MMU.
 
Ukiona ID ya mtu haiko active zaidi ya miezi sita,jua labda; hataki mawasiliano na mitandao,chombo/kifaa alichokuwa anatumia hakifanyi kazi,yuko mahututi,anatumia ID nyingine baada ya ID ya kwanza kutenda madhambi,au ametangulia mbele za haki.
 
Utakua mfukua tope wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…