Hata ukimwambia hivyo hawezi jibu hata siku moja.
Nashindwa kuelewa sijui nilimkosea nini?
Kabisa yaani mwaka unaisha kimasihara kabisa ila Mungu yu mwemaNzuri aisee, tunamaliza mwaka kwa neema zake.
Pole, maana umeitwa hadi ujumbe uka-expire.
Andika thread ya kunitafuta
Ndo naona Leo ujue tena hata sijui nilikua naangalia nini!
Sijui ana shida gani na mbibi mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa yaani mwaka unaisha kimasihara kabisa ila Mungu yu mwema
Yaani mambo yangu yalikua mengi mnoo bro mpk jf nikaisahau!!ndo naona Leo ujumbe wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikutafute akati nakuona?
Mfuate PM kabisa.
Seems ana ajenda nzito, ndio maana akafungua mpaka uzi kukutafuta haha.
Akiona atakucheki nadhani, muhimu ni kwamba hukumu-ignore.
Nasikiaga wanasema wabibi ni watamu eti [emoji16]
Hana lolote anasumbua RAIA tuSeems ana ajenda nzito, ndio maana akafungua mpaka uzi kukutafuta haha.
π π π π π π π
Mashaallah, Mungu Awakuze wajomba zetu haoHahahahahaaa!joanah hebu niache utoke wapii utamu wakati nshazeeeka watoto wanne
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashaallah, Mungu Awakuze wajomba zetu hao
Nijikaushe kama wiki mbili halafu unitafute au siyo?
Hahahahahaaa!joanah hebu niache utoke wapii utamu wakati nshazeeeka watoto wanne
Sent using Jamii Forums mobile app