Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Hahahahah labda hivyo
Lakini usijikaushe week mbili kwa kipindi hiki...if you know what i mean π
Kipindi hiki kwa kweli siwezi kujikausha, especially now Liverpool inajiandaa kubeba kombe la duniani.
Loh!!π
funguo ya home; nimeacha dukani kwa mangi.Hahahahah labda hivyo
Lakini usijikaushe week mbili kwa kipindi hiki...if you know what i mean π
Unajua leo kikosi kimoja kinacheza EFL kingine kinacheza kesho Qatar?
funguo ya home; nimeacha dukani kwa mangi.
Kumbe na wewe unajua kubrag ee
Mechi ya leo na kesho kwenu nyie ni sawa na kumpiga teke chura
Natania mama, nimeona Sanchez magoli anazungumzia issue za funguo, ni za nini?
Funguo za nyumbani kwake ananiachiaga nimshikie....asa leo muda anaondoka sikuwepo so kamuachia mangi
Sawa, sina namna.
Halafu sijui kwanini nimekumiss
Asante ππMimi pia, ndiyo maana imebidi nitafute file la kufukua nikusalimie.