Huko ndo tutakusahau mileleMbona mimi siuliziwagi. sijui nina damu ya kunguni.
Ngona nikakanyage mafuta kwa Mwamposa.
Dear nifungulie basi ka uzi uniulizie na mimi hata nisafishe nyota jamani.Huko ndo tutakusahau milele
Hahahaha, chit chat hii ujueKiongozi una sweetheart wangap hapa jf unigawie
Ukipotea unishtue basi jamani nikufungulie ka uzi!Dear nifungulie basi ka uzi uniulizie na mimi hata nisafishe nyota jamani.
Ubarikiwe sana, nitakushtua kabla sijapotea nikuambie ndio napotea sasa.Ukipotea unishtue basi jamani nikufungulie ka uzi!
Tatizo we pasua kichwa tehMbona mimi siuliziwagi. sijui nina damu ya kunguni.
Ngoja nikakanyage mafuta kwa Mwamposa.
Tubarikiwe sote jamani dear!!Ubarikiwe sana, nitakushtua kabla sijapotea nikuambie ndio napotea sasa.
Kuliko wewe? usisahau akili zetu mimi na wewe kuna sehemu tuliziacha. ha ha
Mimi sijaomba kumisiwa lakini [emoji16][emoji16]Kuliko wewe? usisahau akili zetu mimi na wewe kuna sehemu tuliziacha. ha ha
Haya. Namm nampenda sana huyu Mwanamke..Hahahaha, chit chat hii ujue
Mimi zaidi jamani mrembo!
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]usijali bday ya mwaka huu tutakutumia@Shunie au tutakuja hukooMimi zaidi jamani mrembo!
Mligoma kunitumia nauli jamani
Hahahaha, sasa huko we pambana na hali yakoHaya. Namm nampenda sana huyu Mwanamke..
She's beautiful with integrity n consistencies