Unachezea makaaa ya moto mkuu!! Unawatoa kabisa Man's teams. Hawa ni big threat to EPL. Ukiondoka kidogo unakutana na bwawa la maini hawa wako vizuri sana saizi, lolote linaweza kutokea. Baada ya hapo, kuna hawa watoto wa malkia kutoka St. James Park! wameonyesha ushindani wa hali ya juu mwaka huu.
Tuje hapo jijini London, ambako kuna hao Totenham, Arsenal na Chelsea!! kiufupi bado ubingwa uko Manchester kwani hawa City wanakikosi kipana sana. Ukirudi Old Traford, wamepwaya kidogo kutokana na majeruhi, lakini mida hii ya december kuna uwezekano mambo yakawanyookea kwani mitihani mingi wameshaivuka kwa kucheza na hao jamaa niliowataja, kwa hiyo wakiwa makini wanaweza kujikuta wako kwenye usukani.