I salute and love women!

Too much..
Kila siku hii maneno!
Mbona wanaume hamuwasemi kama mnawapenda! ..kweeek!
 
haha haaaaaaaaa na huyu jamaa nae karudia tena, mkubwa hii thread ilishatolewa twice na we ni watatu.
 
haha haaaaaaaaa na huyu jamaa nae karudia tena, mkubwa hii thread ilishatolewa twice na we ni watatu.
Tena huyu jamaa ameikopi kwa Michuzi! Wakati kule michuzi alisema kabisa ameitoa JF, hahahahaha!
 
HII sredi inadhihirisha ni namna gani watu walivyo wasahaulifu
 
hivi nyie watu mnao bandika thread kwa mtindo wa kurudia rudia mnafanya makusudi? kwanini mnawapa mods kazi za kuunganisha hizi thread bila sababu ya msingi? Kwani waga hamsomi thread zingine jamani?

Uwezekano mkubwa ni kwamba wanaorudia wanakuwa hawajasoma threads zilizotangulia, sidhani kama wana maana ya kuudhi wenzao.

Just being curious, kama hujabahatika kuzisoma zilizotangulia, unajuaje kama ilishabandikwa kabla? Tuelimishane
 
To me it was a 'real-time' thing! I read it. So, if u can forgive, then forget, but for new readers...enjoy! Cheers
 
just curious, who was the first author wa hii hapa JF? maana naona kila mtu anaongeza kionjo kidogo na kujiaminisha kwamba yeye ndo author. Mi kwa mara ya kwanza niliiona ya chrispin, je kuna mwingine aliyekuwa ameileta kabla ya hapo?
 
Mume wangu,
ole wako ufanye yoyote kati ya haya halafu utegemee ntanyamaza.

Enzi za wanaume kuonea wanawake kwa sababu ya jibnsia yao soft zimepita!!

 
Sounds like a broken record...Let us not mistake kindness for stupidity and even in the most noblest of souls with such disrespectful accolades evil may be borne. Again I say these are what make women to be treated like doormats.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…